Tupo Sinza Mori, Mita 200 kutoka kituoni, njia ya kwenda Wanyama hoteli
Tuntengeza keki kwa ajili ya harusi, send-off, kitchen part, Birthday n.k
Tunatengeneza:
Basic cakes
vanilla flavor
lemon flavor
passion flavor
Chocolate cakes
Fruits cake
Coffee cakes
Ginger cakes
Egg less cakes, etc.
KEKI ZETU ZOTE NI NON-ALCOHOL (Hazina kilevi chochote)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni